Chama cha wananchi CUF kimesema kuwa, aliyekuwa mwenyekiti wa chama
hicho Prof Ibrahimu Lipumba, anaweza akagombea tena uenyekiti wa chama
hicho kwani ana uwezo mkubwa. Hayo yamesemwa na Kaimu Katibu Mkuu wa
CUF-Bara alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Uchaguzi utafanyika 21 August 2016
No comments:
Post a Comment