Kikundi cha
MAISHA YA THAMANI kinacholenga
kutoa elimu kwa jamii ya kitanzania inayoratibiwa na Bw Fedinand Shayo,
kinatoa elimu ya Maisha kwa wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na
utangazaji Arusha AJTC.
|
Mkurugenzi wa Mafunzo katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha.Bw Joseph Mayagila |
|
Mtangazaji wa Redio Five 5, Bw Godfrey Thomas akizungumza na wanafunzi wa AJTC |
|
Wanafunzi wa chuo cha Uandishi wa habari na utangazaji Arusha,Wakisikiliza mafunzo kutoka kwa wageni wao...MAISHA YA THAMANI |
|
Wakufunzi wa Chuo cha uandishi wa Habari na utangazaji Arusha Bw Andrea ngobole kutoka kushoto,na Mwl Elihuruma Chao ...kulia |
|
Mkufunzi wa AJTC Bw Andrea Ngobole akizungumza na wanafunzi kwenye Semina ya MAISHA YA THAMANI |
|
Bw Proti Profit Manga akitoa elimu ya maisha kwa wanafunzi wa AJTC |
|
Bi Hellen akitoa elimu kwa wanafunzi wa chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha |
|
Bw Fedinand Shayo Mratibu wa MAISHA YA THAMANI. Picha na PPM
Na RAYMOND WILLIAM |
No comments:
Post a Comment