mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Thursday, June 2, 2016

KIKAO CHA BUNGE KATIKA SERIKALI YA WANAFUNZI KILICHOFANYIKA KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAAJI ARUSHA



 Kikao cha bunge la wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari kilichowakutanisha baadhi mawaziri
kutoka wizara tofauti tofauti kwa lengo la kuwasilisha ripoti na kujibu maswali ya wabunge hao.

Wizara ambazo zilitakiwa kuwasilisha ripoti zao ni wizara ya Habari,fedha,wizara ya sheria na maadili pamoja na wizara ya afya ulinzi na makazi.Kutokana na wingi wa maswali mengi kwa wizara ya habari  hivyo kupelekea wizara nyingine kutowasilisha ripoti                                                            




 


Spika wa bunge Mh Gabriel(kushoto) akiwa na katibu wa bunge Mh Elizabeth Gabriel


















Mheshimiwa EliaBaraka akijbu swali katika kipindi cha maswali na najibu
















No comments:

Post a Comment