mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Sunday, November 6, 2016

SHULEYA LUCKVISENT ILIYOPO MKOANI ARUSHA KATA YA OLASTI WAMEFANYA SHEREHE YA SHUKRANI YA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA KIWILAYA NAFASI YA KWANZA MKOA NA NAFASI YA ISHIRINI KITAIFA KWENYE MATOKEO YA DARASA LA SABA AMBAPO WALIFANYA HAFLA FUPI YA KUWAPONGEZA WAHITIMU NA WALIMU WA SHULE HIYO AMBAPO DIWANI WA KATA HIYO ALEX MARTI ALIHUDHURIA .

          
MH:Diwani wa kata ya olasti bwana Alex Marti akitoa maneno machache ya kuipongezashule ya Luckvisent kwa kushika nafasi ya kwanza kimkoa mkoani ARUSHA



Meneja wa shule ya Luckyvisent akitoa shukrani kwa wageni waliofika siku ya kuwapongeza wahitimu pamoja na walimu wao

wahitimu waliopata A wakiwa kwenye picha ya pamoja 

wahitimu wakiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni rasmi pamoja na Mh:Diwani wa kata ya olasti bwana Alex Marti 

Mgeni rasmi akitoa hotuba na pongezi kwa wanafunzi pamoja na uongozi wa shule hiyo



Mh:Diwani akitoka kati ukumbi wa luckyvisent baada ya kumaliza hafla hiyo

No comments:

Post a Comment