HATIMAYE NGORONGORO WAIBUKA MABINGWA WA UTANGAZAJI NDANI YA AJTC
PICHA NA SAMWELY WILSON |
Hatimaye darasa la Ngorongoro limeibuka kidedea katika mashindano ya utangazaji
katika chuo cha uandishi habari na utangazaji Arusha mashindano yaliyochukua
takribani siku tano.
Darasa hilo baada ya kuingia fainali hiyo jana kati ya madasa 13ambapo leo hii limejishindia
kombe pamoja na pesa tasiilimu shilling laki moja na nusu huku likifatiwa na darsa la Kilimanjaro
nafsi ya pili wakijishindia laki moja darasa la serengeti limeshikili nafsi ya tatu na kupewa
zawdi shilling elf sabini huku baadhi ya wanafunzi walio
Meneja wa MJ redio Emmanuel Msingwa akizungumza na wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha AJTC .....katikakati.... na Mkurugenzi wa chuo hicho Joseph Mayagila....... kulia....pamoja na mkufunzi wa chuo Kephas Ilani |
Hata hivyo mkuu wa chuo hicho bw Joseph Mayagila amewapongeza wanafunzi
wote walioshiriki na kuwataka wasibweteke bali waendelee kujituma ili wafanye vizuri
katika mashindano mengine yatakayojitokeza
Kwa upande wake mkuu wa wa kitengo hicho Bw Onesmo Elia Mbise amesma mashindano
hayo yamendeshwa kwa haki na usawa na majaji wamefuata kanuni zote za uhakiki
wa vipindi lakini akiwataka wanafunzi wote kuongeza juhudi na kuiga vile
vyote vizuri walivyoviona katika vipindi mbali mbali
Mashindano hayo ambayo ni ya tisa kufanyika chuoni yamekamilika hii leo
huku wanafunzi wakionyesha mwitikio na ushindani mkubwa tofauti na miika mingine
Mmoja wa wanafunzi wa Darasa la Ngorongoro lililo jinyakulia ubingwa wa mashindano 2016,NEEMA NNKO Pamoja na mwanafunzi mwenzake wa darasa la Kilimanjaro lililoshika nafasi ya pili,KELVIN NOVAT |
Darasa la Ngorongoro lililoibuka kidedea kwenye mashindano ya Utangazaji Ndani ya AJTC Wakifurahia ushindi wao. |
No comments:
Post a Comment