Watu wanne wameuawa katika mapambano na polisi yaliyotokea kwenye mapango ya Amboni mjini Tamga, eneo ambalo polisi mmoja aliuawa Februari mwaka jana katika tukio lililohusishwa na ugaidi. Katika tukio hilo la Februari mwaka jana, polisi walilazimika kuomba msaada wa askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) kukabiliana na watu waliokuwa wamejificha kwenye mapango hayo na kupiga kambi hapo hadi walipokisambaratisha...
No comments:
Post a Comment