mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Friday, May 27, 2016

PICHA ZA MATUKIO YA MASHINDANO YA UTANGAZAJI YANAYOENDELEA NDANI YA UKUMBI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI (AJTC)

Mashindano Makubwa ya 9 Ndani ya chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha AJTC imeingia leo kwenye fainali ya kupata madarasa matatu yalio bora katika Utangazaji.

Makamu mkuu wa chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha Bw Elifuraha Samboto (Kushoto) akitoa hotuba fupi kabla ya kuanza fainali ya mashindano yanayoendelea chuoni hapo kutafuta madarasa matatu bora.

Wanafunzi wa AJTC wakiwa kwenye Ukumbi wa Chuo hicho wakisikiliza vipindi kutoka studio za 96.6 AJT FM  PICHA NA SAMWELY WILSON

Majaji wa mashindano ya Utangazaji AJTC Steven Mulaki (kulia),Amos Ishengoma ( Katikati) na Jackline 

Papaa Reymond Blessing

No comments:

Post a Comment