mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Monday, May 9, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AWAHUTUBIA WANAWAKE KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA MAMA MJINI DODOMA

WT1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Bidhaa za aina mbalimbali zinazotengenezwa na Wajasiriamali wadogowadogo kwenye maonesho ya maadhimisho ya siku ya Mama na sherehe ya kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yamefanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
WT3Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Bidhaa za aina mbalimbali zinazotengenezwa na Wajasiriamali wadogowadogo kwenye maonesho ya maadhimisho ya siku ya Mama na sherehe ya kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yamefanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
WT4Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi cheti mmoja kati waliofanya vizuri kwenye maonesho ya maadhimisho ya siku ya Mama na sherehe ya kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yamefanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
WT5Wananchi wa Mkoa wa Dodoma wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,alipokua akihutubia kwenye maadhimisho ya siku ya Mama na sherehe ya kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke yaliyofanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
WT8Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanawake kwenye maadhimisho ya siku ya Mama na sherehe za kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais Mwanamke wa kwanza yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
WT6Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha Tunzo alizokabidhiwa na UWT Taifa kwa ajili ya kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa Kwanza Mwanamke kwenye maadhimisho ya siku ya Mama yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
WT9WT10Vikundi mbalimbali vya Ngoma Vikitumbuiza kwenye maadhimisho ya siku ya Mama na kumpongeza Makamu wa Rais kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.Vikundi mbalimbali vya Ngoma Vikitumbuiza kwenye maadhimisho ya siku ya Mama na kumpongeza Makamu wa Rais kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
WT11Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Wanawake na Wananchi wa Dodoma baada ya kuwahutubia kwenye maadhimisho ya siku ya Mama na kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.(Picha na OMR)
WT12Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Wanawake na Wananchi wa Dodoma baada ya kuwahutubia kwenye maadhimisho ya siku ya Mama na kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.(Picha na OMR)

NAIBU WAZIRI AGELINA MABULA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA ARDHI

A1Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi Mh. Angelina Mabula akifungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi uliofanyika mwishoni mwa wiki katika ukubi wa mikutano wa Shirika la Nyumba Upanga jijini Dar es salaam, Naibu Waziri Angelina Mabula amewaasa wafanyakazi wa wizara hiyo kufanya kazi kwa nidhamu na uadilifu kwani kumekuwa na malalamiko kutoka katika halmashauri mbalimbali nchini wananchi wakilalamikia wafanayakai wa idara za Ardhi jambo ambalo ziyo zuri, Jirekebisheni mfanye kazi kwa maslahi ya watanzania ili wananchi waweze kutatuliwa shida zao katika masuala ya migogoro ya ardhi bila matatizo wala vikwazo.
A2Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi Bw. Yamungu Kayandabila akimkaribisha Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi Mh. Angelina Mabula ili kufungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki Upanga jijini Dar es salaam.A3Baadhi ya wafanyakazi wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi Mh. Angelina Mabula  wakati alipokuwa akifungua rasmi mkutano huo.
A4A5A6Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi Mh. Angelina Mabula akiwa ameketi meza kuu pamoja na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Bw. Yamungu Kayandabila  watatu kutoka kushoto pamoja  viongozi wa Baraza la Wafanyakazi Wizara ya Ardhi.
A7

No comments:

Post a Comment