mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Friday, May 6, 2016

MTU MMOJA AUAWA KWA KUPIGWA NA WATU WASIOFAHAMIKA JIJINI MBEYA. by JOHN BUKUKU on MAY 6, 2016 in JAMII with NO COMMENTS juMtu mmoja mwanaume asiyefahamika jina, mwenye umri kati ya miaka 25 hadi 28 alifariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mbeya. Marehemu aliokotwa eneo la Soweto, Kata ya Ruanda, Tarafa ya Iyunga tarehe 05.05.2016 majira ya saa 07:45 asubuhi akiwa uchi mahututi hajitambui na akiwa na majeraha kichwani ya kupigwa na mtu/watu wasiofahamika. Raia wema walitoa taarifa Polisi na kufika eneo la tukio na kisha kumchukua mtu huyo hadi Hospitali ya Rufaa Mbeya kwa matibabu na alifariki wakati akipatiwa matibabu. Aidha chanzo cha mauaji hayo ni kipigo na kiini cha tukio bado kinachunguzwa. Mwili wa marehemu umehifadhiwa Hospitalini hapo. Upelelezi wa tukio hili unaendelea ikiwa ni pamoja na kuwatafuta watu waliohusika na tukio hilo. Katika Tukio la Pili: Mtoto wa miaka mitatu aliyefahamika kwa jina la ELIANA GOD mkazi wa Ilota Wilaya ya Mbeya Vijijini alifariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na Gari lenye namba za usajili T.119 ATY aina ya Toyota Dyana iliyokuwa ikiendeshwa na dereva aitwaye HAULE KYENJE (54) mkazi wa Ilota. Ajali hiyo ilitokea mnamo tarehe 05.05.2016 majira ya saa 13:00 mchana huko Kijiji cha Ilota, Kata ya Mshewe, Tarafa ya Usongwe, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Mkoa wa Mbeya. Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi, mtuhumiwa amekamatwa. Mwili wa marehemu umehifadhiwa Hospitali Teule ya Ifisi. Upelelezi unaendelea. Katika Tukio la Tatu: Mtu mmoja mkazi wa Goye Wilaya ya Mbeya Vijijini aliyefahamika kwa jina la DINALESS LUSWIGO (55) alifariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na Gari iliyokuwa ikiendeshwa na dereva asiyefahamika. Ajali hiyo ilitokea mnamo tarehe 05.05.2016 majira ya saa 20:15 usiku huko Kijiji cha Goye, Kata ya Ndanto, Tarafa ya Usongwe, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Mkoa wa Mbeya katika barabara kuu ya Mbeya kwenda Tukuyu. Chanzo cha ajali ni mwendo kasi, mtuhumiwa alikimbia na gari mara baada ya tukio. Upelelezi unaendelea pamoja na kumtafuta mtuhumiwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi JUSTUS A. KAMUGISHA anatoa wito kwa madereva kuwa makini wanapotumia vyombo vya moto ikiwa ni pamoja na kufuata na kuheshimu sheria na alama za usalama barabarani ili kuepuka ajali zinazoweza kuepukika. Lakini pia anatoa wito kwa watumiaji wengine wa barabara wakiwemo watembea kwa miguu nao wachukue tahadhari pindi wanapotumia barabara. Imesainiwa na: (JUSTUS A. KAMUGISHA – SACP) KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.

MTU MMOJA AUAWA KWA KUPIGWA NA WATU WASIOFAHAMIKA JIJINI MBEYA.

juMtu mmoja mwanaume asiyefahamika jina, mwenye umri kati ya miaka 25 hadi 28 alifariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mbeya.
Marehemu aliokotwa eneo la Soweto, Kata ya Ruanda, Tarafa ya Iyunga tarehe 05.05.2016 majira ya saa 07:45 asubuhi akiwa uchi mahututi hajitambui na akiwa na majeraha kichwani ya kupigwa na mtu/watu wasiofahamika.
Raia wema walitoa taarifa Polisi na kufika eneo la tukio na kisha kumchukua mtu huyo hadi Hospitali ya Rufaa Mbeya kwa matibabu na alifariki wakati akipatiwa matibabu.
Aidha chanzo cha mauaji hayo ni kipigo na kiini cha tukio bado kinachunguzwa. Mwili wa marehemu umehifadhiwa Hospitalini hapo. Upelelezi wa tukio hili unaendelea ikiwa ni pamoja na kuwatafuta watu waliohusika na tukio hilo.
Katika Tukio la Pili:
Mtoto wa miaka mitatu aliyefahamika kwa jina la ELIANA GOD mkazi wa Ilota Wilaya ya Mbeya Vijijini alifariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na Gari lenye namba za usajili T.119 ATY aina ya Toyota Dyana iliyokuwa ikiendeshwa na dereva aitwaye HAULE KYENJE (54) mkazi wa Ilota.
Ajali hiyo ilitokea mnamo tarehe 05.05.2016 majira ya saa 13:00 mchana huko Kijiji cha Ilota, Kata ya Mshewe, Tarafa ya Usongwe, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Mkoa wa Mbeya.
Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi, mtuhumiwa amekamatwa. Mwili wa marehemu umehifadhiwa Hospitali Teule ya Ifisi. Upelelezi unaendelea.
Katika Tukio la Tatu:
Mtu mmoja mkazi wa Goye Wilaya ya Mbeya Vijijini aliyefahamika kwa jina la DINALESS LUSWIGO (55) alifariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na Gari iliyokuwa ikiendeshwa na dereva asiyefahamika.
Ajali hiyo ilitokea mnamo tarehe 05.05.2016 majira ya saa 20:15 usiku huko Kijiji cha Goye, Kata ya Ndanto, Tarafa ya Usongwe, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Mkoa wa Mbeya katika barabara kuu ya Mbeya kwenda Tukuyu.
Chanzo cha ajali ni mwendo kasi, mtuhumiwa alikimbia na gari mara baada ya tukio. Upelelezi unaendelea pamoja na kumtafuta mtuhumiwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi JUSTUS A. KAMUGISHA anatoa wito kwa madereva kuwa makini wanapotumia vyombo vya moto ikiwa ni pamoja na kufuata na kuheshimu sheria na alama za usalama barabarani ili kuepuka ajali zinazoweza kuepukika. Lakini pia anatoa wito kwa watumiaji wengine wa barabara wakiwemo watembea kwa miguu nao wachukue tahadhari pindi wanapotumia barabara.
Imesainiwa na:
(JUSTUS A. KAMUGISHA – SACP)
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.

No comments:

Post a Comment