mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Sunday, October 23, 2016

Mourinho: Sitosherehekea kama ''mtoto mwenye wazimu''


Mourinho akisherehekea ushindi wa Chelsea alipokuwa mkufunzi wa klabu hiyo
Image captionMourinho akisherehekea ushindi wa Chelsea alipokuwa mkufunzi wa klabu hiyo
Mkufunzi wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa hatosherehekea kama ''mtoto mwenye wazimu'' iwapo timu yake itafunnga dhidi ya Chelsea.
Mechi hiyo itakuwa mara ya pili kwa Mourinho kuelekea Stamford Bridge kama mkufunzi wa timu pinzani.
Alipata ushindi katika uwanja huo wakati akiwa mkufunzi wa Inter Milan mwaka 2010 ,kabla ya kujiunga tena kwa mara ya tatu na Bluez ambapo alishinda taji la tatu la ligi.
Jose Mourinho akisherehekea
Image captionJose Mourinho akisherehekea
''Nina ukomavu wa kudhibitia hisia'',alisema Mourinho.
''Iwapo timu yangu itafunga ,je nitasherehekea kama mtoto mwendawazimu? la hasha'

No comments:

Post a Comment