Mkoa
wa Mwanza waongoza kuwa na watumishi hewa 334 ukifuatiwa na Mkoa wa
Arusha kwa kuwa na watumishi hewa 270 ikiwa nchi nzima na watumishi hewa
2,702.
Hata
hivyo Shinyanga na Songwe ni mikoa isiyo kuwa na watumishi hewa. Sababu
kubwa iliyoiwezesha smShinyanga kutokua na watumishi ni matokei ya
mikakati ya mkoa hu kupeleka majina ya watu wanaostahili kulipwa
mishahara kila mwezi.
Akizungumza
na Wakuu wa Mikoa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, George
Simbachawene aliwataka wakuu wa mikoa wafanye kazi ikiwemo ubunifu wa
miradi ya kuongeza mapato.
No comments:
Post a Comment