mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Sunday, March 13, 2016

MBUNGE WA JIMBO LA BUMBULI JANUARY MAKAMBA AWAHAKIKISHIA USTAWI WA MAENDELEO YAO WANANCHI WA KIJIJI CHA MPUNDA


Wananchi wa Kijiji cha Mpunda Kata ya Usambara wakimuonesha Mbunge wa Jimbo la Bumbuli January Makamba eneo ambalo Wakazi hao wamepewa na Kiwanda cha Katani ili wajenge Zahanati ya Kijiji.
Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, January Makamba akibadilishana namba za Simu na wananchi wa Jimbo lake ili kurahisisha Mawasiliano kati yake na wanakijiji hao, wakati alipofika katika Kijiji hicho kuangalia namna ya kutatua changamoto zinazowakabili kwa sasa.
Katibu wa Wilaya ya Lushoto Ramadhani Mahanyo akizungumza katika Mkutano huo.
Mbunge wa Jimbo la Bumbuli January Makamba akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Mpunda baada ya kumalizika kwa Mkutano huo.

No comments:

Post a Comment