Tanzania
tutegemee kuingia kwenye shida ya kiuchumi. Wale washirika wetu wa
maendeleo yaan zile nchi za ulaya. Kwa kauli ya pamoja wamesitisha
misaada katika nchi yetu.
Tukumbuke
misaada yao inaingia moja kwa moja kwenye bajet!! Wanaojua
hatujitoshelezi. Kimaneno tunajitosheleza kwa 60% kivitendo hatuzid
40%.Ni zaid ya ile MCC. Maamuzi hayo yamekubaliwa na nchi 10 kati ya 14
za Umoja wa ulaya.
Swali kwa watawala hata hizo milijua hamtapewa mlijiandaa kujitegemea??
Maana ya MCC nilimsikia msemaji wa wizara ya fedha anasema waljua haztakuja hawakuziweka kwenye bajet.
Je na za washirika wa maendeleo hamkuziweka???
Wananchi
mnatwambia tufunge mikanda suruali zetu zinavyotupwaya wakati nyie
mnashindwa Hata kufunga vifungo vya makotI kwa vitambi.
No comments:
Post a Comment