NAPE ATOA USHAURI JIMBONI MTAMA WA KUWATAKA WANANCHI KUTOUZA ARDHI HOVYO
Mbungewa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mandwanga
kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa za mambo ambayo
ameshafanya mpaka sasa.
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwasalimu Wazee wa kata ya Nahukahuka kabla ya kuzungumza nao masuala mbali mbali ya kimaendeleo ambapo aliwashauri wananchi wa kijiji hicho pamoja na jimbo lake kutokubali kuuza ardhi hovyo kwani ardhi ndio urithi wao pekee unaoweza kuwainua kiuchumi.
Mzee Chitende mbunge wa zamani wa Jimbo la Mtama ambaye sasa ni Mshauri wa Mhe. Nape Nnauye akihutubia umati wa watu waliojitokeza kwenye mkutano wa Mbunge na Wananchi.
Wananchi wa kijiji cha Nahukahuka wakimsikiliza Mbunge wao Mhe. Nape Nnauye akiwasomea vijiji vitakavyopata umeme wa Mradi wa kusambaza umeme vijijini awamu ya tatu.
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa kata ya Nahukahuka
kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa za mambo ambayo
ameshafanya mpaka sasa.
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia mashimo ya choo vya shule yanayojengwa kwa nguvu ya wananchi wa shule ya Msingi Nahukahuka.
Mbunge wa Zamani wa Jimbo la Mtama amabaye sasa ni mshauri wa Mbunge Mhe. Nape Nnauye akitoa salaam za uatangulizi kwenye mkutano wa kuwashukuru watu wa kata ya Nyangamala.
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa kata ya Nyangamala
kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa za mambo ambayo
ameshafanya mpaka sasa.
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa kata ya Pangatena
kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa za mambo ambayo
ameshafanya mpaka sasa.
No comments:
Post a Comment