mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Sunday, March 13, 2016

JANUARY MAKAMBA AHAMASISHA MAENDELEO KWA WANACHI WA KATA ZA VUGA NA USAMBARA WILAYANI LUSHOTO



Mbunge wa Jimbo la Bumbuli January Makamba akikabidhi msaada wa Mabati 64 kwa ajli ya Ujenzi wa Maabara katika Shule ya Sekondari ya Bazo iliyopo kata ya Vuga Wilayani Lushoto mkoa wa Tanga. 
Mbunge wa Jimbo la Bumbuli January Makamba akizungumza na Wananchi wa Kata Mponde katika Mkutano hadhara, ambapo Mbunge huyo ameeleza Mikakati mbalimbali ya kuwasaidia wananchi wa Kata hiyo ambao wengi wao hujishughulisha na masuala ya Kilimo.
 
Gari ikiwa imebeba Rola 70 za Mabomba ya kusafirishia Maji, ambayo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Bumbuli January Makamba kwa wananchi wa Kata ua Usambara ili kupunguza Kero ya muda mrefu ya wananchi hao katika Suala la Upatikanaji wa maji safi na salama.

No comments:

Post a Comment