Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua kiwanda cha Maji ya Bunena Spring Water kilichopo mjini Bukoba Machi 13, 2016. Alikuwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Kagera.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi mkubwa wa maji wa Bunena mjini Bukoba ulio chini ya mamlaka ya maji ya mji huo BUWASA akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Kagera machi 13, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim majaliwa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kwanda cha maji cha Bunena Spring Water akiwa akika ziara ya mkoa wa Kageza Machi 13, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maji uanayotengenezwa na kiwanda cha maji ya Bunena Spring Water cha Bukoba mjini akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa waKagera Machi, 13, 2016. Kulia kwake ni Askofu wa jimbo la )
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maji uanayotengenezwa na kiwanda cha maji ya Bunena Spring Water cha Bukoba mjini akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa waKagera Machi, 13, 2016. Kulia kwake ni Askofu wa jimbo la
No comments:
Post a Comment