Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa serikali, Viongozi wa dini na wadau wa maendeleo wa mkoa wa Kagera kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba Machi 13, 2016. Alikuwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Kagera.
Baadhiu ya watumishi wa serikali, viongozi wa dini na wadau wa maendeleo wa mkoa wa Kagera wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 13, 2016.
No comments:
Post a Comment