JE Umeshawahi Kufikiria Mchezaji MBWANA SAMATTA Analipwa Mshahara Kiasi Gani Kwa Mwezi? Jibu Lipo Hapa
Klabu
ya KRC Genk anayocheza nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta inatajwa
kuwa miongoni mwa vilabu tajiri ndani ya Ligi Kuu Ubelgiji, ila kwa
mujibu wa www.xpats.com, wachezaji wengi wao Ubelgiji hulipwa kati ya
euro 25000 hadi 50000 kwa mwezi.
EURO
elfu ishirini na tano ni zaidi ya milioni sitini za Kitanzania kwa sasa
wakati Euro elfu 50 ni zaidi ya milioni mia moja ishirini za
Kitanzania.
Hivyo Samatta Mshahara wake unaanzia uero 25000 na kuendelea..
No comments:
Post a Comment