Rais wa Vietinam, Truong Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hanh wakiwapungia wananchi huku wakiongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakati walipoondoka nchini Machi11, 2016.
Rais wa Vietinam, Truong Tan Sang akiagana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakati alipoondoka nchini Machi 11, 2016.
Rais wa Vietinam, Truong Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hanh wakiagana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakati walipoondoka nchini Machi11, 2016.
Mpiga picha aliyeambatana na Rais wa Vietinam katika ziara yake nchini akicheza ngoma kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka nchini kwa Rais wake , Truong Tan Sang, Machi 11, 2016.
No comments:
Post a Comment