Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari Arusha (AJTC) wakipata maelekezo jinsi ya Kupiga picha za mjongeo (Video) na wa kwanza (kushoto) ni Mwl wa somo hilo Bw. Stephen Mulaki
Mwanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha (AJTC) Alphonce Kusaga akijaribu kuweka camera sawa kabla ya kuanza kazi
Wanafunzi wakinolewa kwa ajili ya kuja kuwa wapiga picha wazuri wa picha mnato (still picture) na picha mjongeo (video picture)
No comments:
Post a Comment