mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Tuesday, March 15, 2016

WEMA SEPETU Afunguka Kuhusu Kutoka na Mkongo Man...Adai Amechoka Kutumika Kama Daraja


Wema Sepetu afunguka kuhusu tuhuma za kutoka na Mkongo Man apocalypse

"Sijawahi na sitowahi kuwa na mwanaume Mcongo wa aina yoyote ile... Sasa nashangaa watu wameona mimi ndo daraja la kuwapa umaarufu... Im Tired... Huyo apocalypse sijui kitu gani aint my man... I only know him as a friend... So please guys.... Niacheni kidogo tafadhal... Alam-siq...!!! And ontop of all dat I think u all know me by now nikiwa na mtu sijivungi kumtangaza maana huwa I live to please my heart... Mwanaume wangu nadhani anajulikana... Sasa endeleeni kumpa huyo baba attention sababu yeye nako naona kashaona ni kamchezo kakupatia followers... Na nyie mnampa airtime ya kutosha.... So anaendelea... Ananiudhi na mimi kiukweli hadi napata hasira... But nakaa tu kimya... This is too much now..." Wema Sepetu

No comments:

Post a Comment