Mkewa Rais Mama Janeth Magufuli alimwongoza Mke wa Rais wa Vietinam, Mai Ti Hahn (kushoto) kwenda kwenye chakula cha jioni alichoandaa Rais John Magufuli ikulu jijini Dar es salaam Machi 9, 2016 kwa heshima ya Rais wa Vietinam, Truong Tang Sang. Wapili kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa na kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson.
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mkewe Salma wakiingia kwenye ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam kushiriki chakula cha jioni alichoandaa Rais John Magufuli ikulu jijini Dar es salaam Machi 9, 2016 kwa heshima ya Rais wa Vietinam, Truong Tang Sang. uu)
Katibu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi Celestine Mushy wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya Mashari, Kikanda na Kimataifa katika chakula cha jioni alichoandaa Rais John Magufuli ikulu jijini Dar es salaam Machi 9, 2016 kwa heshima ya Rais wa Vietinam, Truong Tang Sang.
Rais John Magufuli akiteta na Rais Mstaafu Ali Hasan Mwinyi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika chakula cha jioni alichomwandalia Rais wa Vietinam, Truong Tang Sang, Ikulu jijini Dar es salaam Machi 9,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais John Magufuli akizungumza na Marais Wstaafu Ali Hasan Mwinyi na Jakaya Kikwete Waziri Mkuu katika chakula cha jioni alichomwandalia Rais wa Vietinam, Truong Tang Sang, Ikulu jijini Dar es salaam Machi 9,2016. Kulia ni Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha UDP,John Cheyo chakula cha jioni ambacho Rais John Magufuli alimwandalia Rais wa Vietinam, Truong Tang Sang, Ikulu jijini Dar es salaam Machi 9,2016. Kulia ni Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa.
No comments:
Post a Comment