Wanafunzi wa
chuo cha uhandishi wa habari na utangazaji Arusha
wameaswa kuhudhuria katika mazoezi ya michezo chuoni hapo.
Hayo
yamesemwa na msemaji wa bodi ya michezo Bw Erick Ferino mapema leo alipokuwa
akiongea na wanafunzi chuoni hapo.
Hata hivyo
amesema lengo la mazoezi hayo ni kwaajili ya kujiandaa na mashindano mbalimbali
ya kimichezo yatakayo fanyika chuoni hapo hivi karibuni.
Mbali na
hayo pia amewataka wanafunzi wengine ambao hawapendi kufanya mazoezi waanze
mara moja kwani kufanya mazoezi sikwaajili ya wachezaji tu bali ni kwa watu
wote kwani mazoezi ni njia moja wapo ya kuimalisha viongo vya mwili.
No comments:
Post a Comment