mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Tuesday, February 23, 2016

MAJALIWA AKUTANA NA MABALOZI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na  Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Mhe. Alvaro Rodriguez kabla  ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 23, 2016.
sil2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na  Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Bw. Alvaro Rodriguez  Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. 
sil3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Yosemin Eralp kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. 
sil4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na  Balozi wa Ireland nchini, Mhe.  Fionnuala  Gilsenan,  Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 23, 2016.
sil5
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na  Balozi wa Switzerland nchini, Mhe.  Florence Tinguely Mattli,  Ofisini kwake  Mkuu jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment