mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Friday, February 19, 2016

WAFANYA BIASHARA YA MABUCHA YA NYAMA WAWAOMBA WANANCHI KUJITOKEZA KUNUNUA NYAMA


Eneo la biashara ya Bw Samwel mtaa wa kwa morombo


 Mfanyabiashara wa nyama Bw. Samwel akielezea ugumu wanaoupata kipindi hiki cha mfungo



Wafanya biashara wa mabucha ya nyama  Jijini Arusha  wamewaomba wateja wao wajitokeze kununua nyama licha ya kuwepo kwa ugumu wa biashara katika kipindi hiki cha mfungo wa kwa rezma
Hayo yamesemwa na Bw Samwel anayefanyia biashara zake  eneo maarufu kwa nyama choma ya mbuzi katika  mtaa wa kwa Morombo Jijini Arusha wakati akizungumza na mmiliki wa Blog hii jioni ya leo
Pia amesema kwamba kipindi hiki wateja wamekuwa wachache kutokana  na  kipindin hiki cha kwa Rezma kuelekea sikukuu ya Pasaka  mwezi wa tatu tar 27 mwaa 2016
Hata hivyo amesema licha ya cha changamoto ya kipindi hiki cha kwa rezma pia amesema changamoto nyingine ya kukosa wateja ni kutokana na kupanda kwa bei ya nyama ambapo awali kilo ilikuwa ni Sh 6,000 na sasa  ni Sh 7,000

No comments:

Post a Comment