mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Saturday, February 20, 2016


MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MAALUM WA WANARUKWA NA KATAVi

sm1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Februari 20, 2016 kufungua mkutano Malum wa Wanarukwa na Katavi.   
sm2
Waziri Mkuu, Kasim Majlaliwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda wakifurahia ngoma baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Februari 20, 2016 kufungua mkutano Malum wa Wanarukwa na Katavi. 
sm3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakitazama badhi ya magari ambayo baba wa taifa , Mwalimu Julius Nyerere aliyatumia kwenye miaka ya 1950 na 1960 baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Februari 20, 2016 kufungua mkutano Malum wa Wanarukwa na Katavi.
sm4
 Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akizungumza katika mkutano Maalum wa Wanarukwa na Katavi uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam Februari 20, 2016. 
sm5
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akifungua   mkutano Maalum wa Wanarukwa na Katavi  kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam Februari 20, 2016. 
sm6
 Baadhi ya wananchi wa Mikoa ya Katavi na Rukwa wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majliwa wakati alipofungua  mkutano maalum wa  Wanarukwa na Katavi  kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam Februari 20, 2016. 
sm7
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akionyesha Tuzo Maalum aliyotuzwa na  Wanarukwa na Katavi katika mkutano wao maalum uliofunguliwa na Waziri Mkuu,  Kassim Majalwa kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam Februari 20, 2016. 

No comments:

Post a Comment