mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Thursday, February 18, 2016

NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATEMBELEA TANROADS

 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe.
Mhandisi Edwin Ngonyani (kulia) akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale wakati Naibu Waziri huyo alipowatembelea katika ofisi Makao Makuu ya TANROADS leo Jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Wakala wa Barabara Tanzania
(TANROADS) wakifuatilia taarifa toka kwa Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Patrick Mfugale wakati alipopata ugeni wa Naibu wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani katika Makao Makuu ya ofisi hizo Jijini Dar es
Salaam.

No comments:

Post a Comment