WANAFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI
ARUSHA (AJTC) WAMETAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA KUFANYA MAZOEI YA MPIRA WA
MIGUU NA WA PETE PAMOJA NA MAOEZI MENGINE YA VIUNGO .
HAYO YAMESEMWA NA MSEMAJI WA BODI YA MICHEO BWANA ERICK
FELINO ALIPOKUA AKIZUNGUMZA NA WANAFUNZI WA CHUO HICHO MAPEMA HII LEO WAKATI AKIHAMASISHA SUALA LA
MICHEZO CHUONI HAPO.
BWANA FELINO ALISEMA MICHEZO HUJENGA AFYA, HUDUMISHA UNDUGU,
PIA HUJENGA MAHUSIANO MEMA NDANI YA JAMII LAKINI PIA HUHAMASISHA AMANI.
SANJARI NA HAYO AMEWAOMBA
WALE AMBAO HAWAPENDI KUSHIRIKI KATIKA MICHEZO MBALIMBALI INAYOTOKEA
CHUONI HAPO WAANZE KUSHIRIKI KWANI MICHEZO INATOA FURSA YA AJIRA LAKINI PIA
HUMFANYA MTU ASIWAZE MAMBO YASIYOKUA NA
TIJA KATIKA JAMII.
No comments:
Post a Comment