mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Wednesday, April 20, 2016

SIMANZI: Msanii Bongo Muvi Afariki Dunia Akijifungua Hospitalini



Ni simanzi! Nyota ya msanii Leila Gabriel ‘Lissa’ ambayo ndiyo kwanza ilikuwa imeanza kuchomoza kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, ilizimika ghafla mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya msanii huyo kupoteza maisha muda mfupi baada ya kujifungua kwenye Hospitali ya St. Benard, Kariakoo jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment