MAFUNZO YA SEMINA YA UJASIRIAMALI YAMEANZA RASMI LEO KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA
Mgeni rasmi bwana Samwel Senyenye akitoa utangulizi mfupi katika semina ya ujasiriamali iliyofanyika katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha {AJTC} hii leo. |
Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha [AJTC] wakifuatilia kwa umakini mafunzo ya ujasiriamali yanayoendelea hii leo katika ukumbi wa chuo hicho |
No comments:
Post a Comment