mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Friday, April 8, 2016

NAIBU WAZIRI WA MICHEZO ANASTAZIA WAMBURA AZUNGUMZA NA WASANII WA KIKUNDI CHA ALBINO CULTURE TROUP CHA WILAYANI TEMEKE


1Naibu Waziri Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa kwanza kulia akiongea na wasanii wa kikundi cha sanaa na utamaduni cha Albino Revolution Troup kutoka Wilayani Temeke walipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili walemavu katika kutekeleza majukumu yao ya kisanaa, kulia kwa naibu waziri ni Mkurugenzi wa kikundi hicho Bw. Titto Mtanga.
2Mkurugenzi wa kikundi chaAlbino Revolution Troup kutoka Wilaya ya Temeke Bw. Titto Mtanga wa kwanza kushoto akiongea na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakati kikundi hicho kilipomtembelea Mh. Wambura ofisini kwake kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili walemavu katika kutekeleza majukumu yao ya kisanaa.
3Naibu Waziri Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa kwanza kulia akipokea moja ya kazi ya Kikundi cha Albino Revolution Culture Troup kutoka kwa Mkurugenzi wa kikundi hicho Bw. Titto Mtanga wakati walipomtembelea Mh. Wambura ofisini kwake kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili walemavu katika kutekeleza majukumu yao ya kisanaa.

No comments:

Post a Comment