mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Friday, April 8, 2016

MAAFISA HABARI MKOA WA MWANZA WANUFAIKA NA VITENDEA KAZI KUTOKA WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO by SOLO on APRIL 8, 2016 in MICHEZO with NO COMMENTS 15Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella (aliyesimama) akizungumza na wadau wa sekta za Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo (hawapo pichani) wakati wa ziara ya Mhe. Nape Nnauye kukutana na wadau hao jana Jijini Mwanza pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari wa mkoa huo na kutembelea viwanja vya michezo na vituo vya utangazaji vilivyopo jijini hapo. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mhe. Baraka Konisaga na kulia ni katibu wa CCM Mwanza Ndg. Miraji Mtaturu 14Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella (wapili kulia) akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye alipowasili ofisini kwake wakati wa ziara yake jana Jijini Mwanza kukutana na wadau wa sekta anazozisimamia pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari wa mkoa na kutembelea viwanja vya Michezo na vituo vya utangazaji vilivyopo Jijini Mwanza. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mhe. Baraka Konisaga na kulia ni Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Bw. Ndaro Kulwijira. 16Afisa Habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza Ndg. Atley Kuni akitoa taarifa ya sekta ya habari kwa mkoa wa Mwanza wakati wa ziara ya Mhe. Nape Nnauye kukutana na wadau wa sekta ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo jana Jijini Mwanza pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari wa mkoa huo na kutembelea viwanja vya michezo na vituo vya utangazaji vilivyopo jijini hapo. 17Msanii kutoka jiji la Mwanza Ndg. Feizal Saul (aliyesimama) akichangia wakati wa ziara ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye kukutana na wadau wa sekta anazozisimamia pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari na kutembelea viwanja vya michezo na vituo vya utangazaji jana Jijini Mwanza 18Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimkabidhi iPad afisa habari kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe Bw. Stephen Msengi wakati wa ziara ya yake kukutana na wadau wa sekta anazozisimamia jana Jijini Mwanza pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari wa mkoa huo na kutembelea viwanja vya michezo na vituo vya utangazaji vilivyopo jijini hapo. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella 19Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimsikiliza Meneja wa Star times kanda ya ziwa Bw. Bakari Hassani (kushoto) alipotembelea ofisi hizo wakati wa ziara yake kukutana na wadau wa sekta anazozisimamia jana Jijini Mwanza pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari wa mkoa huo na kutembelea viwanja vya michezo na vituo vya utangazaji vilivyopo jijini hapo. 20Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na watendaji wa TBC pamoja na Star Times nje ya ofisi za TBC zilizopo jijini Mwanza jana wakati wa ziara yake kukutana na wadau wa sekta anazozisimamia pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari wa mkoa huo na kutembelea viwanja vya michezo na vituo vya utangazaji vilivyopo jijini hapo. Wapili kushoto ni Meneja wa Star times kanda ya ziwa Bw. Bakari Hassani na watatu kulia ni Kaimu Mkuu wa Kanda ya ziwa TBC Bibi. Rachel Mwasha. 21Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akisalimiana na viongozi wa CCM Mkoa wa Mwanza alipowasili katika uwanja vya CCM Kirumba kupata taarifa ya uwanja huo wakati wa ziara yake kukutana na wadau wa sekta anazozisimamia pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari wa mkoa huo na kutembelea viwanja vya michezo na vituo vya utangazaji vilivyopo Jijini Mwanza. Kushoto ni Katibu wa CCM Mwanza Ndg. Miraj Mtaturu. Picha na: Genofeva Matemu – Maelezo, Mwanza TFF YAZITAKIA KILA LA KHERI AZAM, YANGA by SOLO on APRIL 8, 2016 in MICHEZO with NO COMMENTS malinziArstShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezitakia kila la kheri klabu za Azam FC na Young Africans ambao ni wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya kimataifa itayochezwa wikiendi hii. TFF imevitaka vilabu hivyo kupambana katika michezo inayowakabili na kuweza kufanya vizuri kwa kupata ushindi, ili kutengeneza mazingira mazuri katika michezo ya marudaino itakayochezwa Aprili 19-20 mwaka huu. Young Africans wanaochezwa hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa barani Afria (CAF CL) watashuka dimbani kesho Jumamosi uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam saa 10 kamili kwa saa za Afrika Mashariki, kucheza dhidi ya Al Ahly katika mchezo namba 89 wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL). Mchezo huo utachezeshwa na Dennis Dembele, akisaidiwa na Marius Donatien, Moussa Bayere, mwamuzi wa akiba Tangba Kambou wote kutoka nchini Ivory Coast, huku kamisaa wa mchezo huo akiwa Celestin Ntangungira kutoka nchini Rwanda. Jumapili katika uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi saa 9 kamili alasiri, Azam FC watwakua wenyeji wa Esperance Sportive de Tunis (EST) ya Tunisa katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC) hatua ya 16 bora. Waamuzi wa mchezo huo namba 75 ni Daniel Frazer Bennet, akisaidiwa na Zakhele Siwela, Thembisile Theophilus, mwamuzi wa akiba Mbongiseni Fakudze wote kutoka nchini Afrika Kusini, huku kamisaa wa mchezo akiwani Joseph Nkole kutoka nchini Zambia.

MAAFISA HABARI MKOA WA MWANZA WANUFAIKA NA VITENDEA KAZI KUTOKA WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

15Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella (aliyesimama) akizungumza na wadau wa sekta za Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo (hawapo pichani) wakati wa ziara ya Mhe. Nape Nnauye kukutana na wadau hao jana Jijini Mwanza pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari wa mkoa huo na kutembelea viwanja vya michezo na vituo vya utangazaji vilivyopo jijini hapo. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mhe. Baraka Konisaga na kulia ni katibu wa CCM Mwanza Ndg. Miraji Mtaturu
14Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella (wapili kulia) akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye alipowasili ofisini kwake wakati wa ziara yake jana Jijini Mwanza kukutana na wadau wa sekta anazozisimamia pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari wa mkoa na kutembelea viwanja vya Michezo na vituo vya utangazaji vilivyopo Jijini Mwanza. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mhe. Baraka Konisaga na kulia ni Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Bw. Ndaro Kulwijira.
16Afisa Habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza Ndg. Atley Kuni akitoa taarifa ya sekta ya habari kwa mkoa wa Mwanza wakati wa ziara ya Mhe. Nape Nnauye kukutana na wadau wa sekta ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo jana Jijini Mwanza pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari wa mkoa huo na kutembelea viwanja vya michezo na vituo vya utangazaji vilivyopo jijini hapo.
17Msanii kutoka jiji la Mwanza Ndg. Feizal Saul (aliyesimama) akichangia wakati wa ziara ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye kukutana na wadau wa sekta anazozisimamia pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari na kutembelea viwanja vya michezo na vituo vya utangazaji jana Jijini Mwanza
18Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimkabidhi iPad afisa habari kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe Bw. Stephen Msengi wakati wa ziara ya yake kukutana na wadau wa sekta anazozisimamia jana Jijini Mwanza pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari wa mkoa huo na kutembelea viwanja vya michezo na vituo vya utangazaji vilivyopo jijini hapo. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella
19Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimsikiliza Meneja wa Star times kanda ya ziwa Bw. Bakari Hassani (kushoto) alipotembelea ofisi hizo wakati wa ziara yake kukutana na wadau wa sekta anazozisimamia jana Jijini Mwanza pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari wa mkoa huo na kutembelea viwanja vya michezo na vituo vya utangazaji vilivyopo jijini hapo.
20Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na watendaji wa TBC pamoja na Star Times nje ya ofisi za TBC zilizopo jijini Mwanza jana wakati wa ziara yake kukutana na wadau wa sekta anazozisimamia pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari wa mkoa huo na kutembelea viwanja vya michezo na vituo vya utangazaji vilivyopo jijini hapo. Wapili kushoto ni Meneja wa Star times kanda ya ziwa Bw. Bakari Hassani na watatu kulia ni Kaimu Mkuu wa Kanda ya ziwa TBC Bibi. Rachel Mwasha.
21Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akisalimiana na viongozi wa CCM Mkoa wa Mwanza alipowasili katika uwanja vya CCM Kirumba kupata taarifa ya uwanja huo wakati wa ziara yake kukutana na wadau wa sekta anazozisimamia pamoja na kutoa vitendea kazi kwa maafisa habari wa mkoa huo na kutembelea viwanja vya michezo na vituo vya utangazaji vilivyopo Jijini Mwanza. Kushoto ni Katibu wa CCM Mwanza Ndg. Miraj Mtaturu.
Picha na: Genofeva Matemu – Maelezo, Mwanza

TFF YAZITAKIA KILA LA KHERI AZAM, YANGA

malinziArstShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezitakia kila la kheri klabu za Azam FC na Young Africans ambao ni wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya kimataifa itayochezwa wikiendi hii.
TFF imevitaka vilabu hivyo kupambana katika michezo inayowakabili na kuweza kufanya vizuri kwa kupata ushindi, ili kutengeneza mazingira mazuri katika michezo ya marudaino itakayochezwa Aprili 19-20 mwaka huu.
Young Africans wanaochezwa hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa barani Afria (CAF CL) watashuka dimbani kesho Jumamosi uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam saa 10 kamili kwa saa za Afrika Mashariki, kucheza dhidi ya Al Ahly katika mchezo namba 89 wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL).
Mchezo huo utachezeshwa na Dennis Dembele, akisaidiwa na Marius Donatien, Moussa Bayere, mwamuzi wa akiba Tangba Kambou wote kutoka nchini Ivory Coast, huku kamisaa wa mchezo huo akiwa Celestin Ntangungira kutoka nchini Rwanda.
Jumapili katika uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi saa 9 kamili alasiri, Azam FC watwakua wenyeji wa Esperance Sportive de Tunis (EST) ya Tunisa katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC) hatua ya 16 bora.
Waamuzi wa mchezo huo namba 75 ni Daniel Frazer Bennet, akisaidiwa na Zakhele Siwela, Thembisile Theophilus, mwamuzi wa akiba Mbongiseni Fakudze wote kutoka nchini Afrika Kusini, huku kamisaa wa mchezo akiwani Joseph Nkole kutoka nchini Zambia.

No comments:

Post a Comment