mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Wednesday, March 2, 2016

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA KIJIJI CHA LAMADI – BUSEGA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Lamadi wilayani Busega  kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara wenye uwanja wa michezo Machi 2, 2016. 
seg2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Lamadi wilayani Busega  kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara wenye uwanja wa michezo Machi 2, 2016.
Mbunge wa Busega Dkt Raphael Chegeni (kushoto) na Mbunge wa zamni wa jimbo hilo, Dkt Titus Kamani ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Simiyu wametangaza rasmi kuzika tofauti zao na kushirikiana  kuleta maendeleo kwenye jimbo hilo. Pichani  viongozi hao wakiwadhihirishia wananchi kuwa hawana chukui wala ugomvi tena na kuwa uchaguzi umekwisha katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa kwenye kijiji cha Lamadi wilayni Busega Machi 2, 2016. 

seg4
Mbunge wa Busega Dkt Raphael Chegeni (kushoto) na Mbunge wa zamni wa jimbo hilo, Dkt Titus Kamani ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Simiyu wametangaa rasmi kuzika tofauti zao na kushirikiana  kuleta maendeleo kwenye jimbo hilo. Pichani  viongozi hao wakiwadhihirishia wananchi kuwa hawana chukui wala ugomvi tena na kuwa uchaguzi umekwisha katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa kwenye kijiji cha Lamadi wilayni Busega Machi 2, 2016.  
seg5
Waziri Mkuu, Kasim Majliwa akionyesha usinga na mkuki  ambavyo alipewa na wazee wa Kisukuma wa Busega katika mkutano wa hadhara katika kijiji cha Lamadi Machi 2, 2016. Wazee hao pia walimbatiza jina la Massanja. 
seg7seg8
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutanowa hadhara katik kijiji cha Lamadi wilayani Busega Machi 2, 2016. 

No comments:

Post a Comment