mazingira

mazingira
kwa pamoja tuyatunze mazingira

Wednesday, March 2, 2016

MKUTANO WA 10 WA KUTATHMINI SEKTA YA AFYA UNAOFANYIKA KILA MWAKA WAFUNGULIWA NA MAKAMU WA PILI WA RAIS BALOZI SEIF ALI IDDI


zaz1
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Muhammed Jidawi akiwakaribisha washiriki wa Mkutano wa siku tatu wa kutathmini sekta ya Afya Zanzibar katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, Mazizini.
zaz2
Kiongozi wa washirika wa maendeleo kutoaka Mashiriki ya Umoja wa Mataifa DKT. Kirsten Havemann akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa kutathmini sekta ya Afya Zanzibar unaofanyika Zanzibar Beach Resort Mazizini.
zaz3
Baadhi ya washirika wa maendeleo  na maafisa wa Wizara ya Afya Zanzibar wakifuatilia ufunguzi wa Mkutano huo uliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.
zaz4
Mgeni rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifungua Mkutano wa 10 wa kutathmini maendeleo ya sekta ya Afya Zanzibar kwa niaba ya Rais wa Zanzibar  katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
zaz5
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akiteta jambo na kiongozi wa washirika wa maendeleo kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa Dkt. Kirsten Havemann wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa kutathmini sekta ya Afya Zanzibar.
zaz6
Mgeni rasmi Balozi Seif Ali Iddi na washiriki wa maendeleo  na maafisa wa Wizara ya Afya Zanzibar mara  baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa siku tatu  wa kutathmini sekta ya Afya unaofanyika Zanzibar  Beach Resort Mazizini nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment