| Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Daniel Kidega akitoa ushauri juu ya namna uchagiaji wa mada mbalimbali ili kuepusha malumbano yasiyo na ulazima wakati wa siku ya ufungaji wa Semina ya siku mbili iliyowakutanisha Wabunge kutoka Mabunge ya nchi za Afrika Mashariki kujadili masuala mbalimbali ya uchaguzi, Semina hiyo imehitimishwa jana 4 Machi, 2016 Jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment