Majambazi Sugu Yakuiba Magari Aina ya Noah Yadakwa DAR...Kama Ulishawahi Ibiwa Gari Soma Hapa
Wezi wa Magari wamedakwa waligeuza nyumba yao maeneo ya Boko/Bunju Yard ya Magari ya Wizi , Kama kuna ndugu jamaa au Rafiki aliibiwa Noah mpe Taarifa afike Oysterbay police #UlinziShirikishi..
No comments:
Post a Comment